Mkyamise JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 482 Reaction score 614 Aug 5, 2024 #1 Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
Grand Canyon JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 545 Reaction score 1,191 Aug 5, 2024 #2 Kuna duka la Halotel kwenye mataa ya Nyerere road. Wanauza Tsh 150,000
Mkyamise JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 482 Reaction score 614 Aug 5, 2024 Thread starter #3 Grand Canyon said: Kuna duka la Halotel kwenye mataa ya Nyerere road. Wanauza Tsh 150,000 Click to expand... Nashukuru ndugu.
Grand Canyon said: Kuna duka la Halotel kwenye mataa ya Nyerere road. Wanauza Tsh 150,000 Click to expand... Nashukuru ndugu.