Natafuta sabuni aina ya “ALFA”.

Natafuta sabuni aina ya “ALFA”.

Lagrangian

Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
79
Reaction score
66
Wakuu wasalaam.

Kheri ya mwaka mpya. Mwenyezi Mungu akatujalie afya njema na mafanikio tele 2021.

Ndugu wana JF, natafuta hizi sabuni aina ya ALFA kama inavyoonekana Pichani. Hizi sabuni zinahitajika sana tatizo limeibuka kua hazipatikani kwa wingi.

Tafadhali mwenye kujua zinakopatikana hizi sabuni naomba aniunganishe na wasambazaji.

Natanguliza shukrani.

Screenshot_20210101-170427.png
 
Back
Top Bottom