Wana JF,Natafuta SACCOS niwe mwanachama kama mjasiriamali mwingine,iwe Dar,isiwe ya ukanda,iwe imekaguliwa Hesabu zake angalau mara moja tangu ianzishwe,ikiwa mwanachama wa NSSF,SCULT,PPF,ni vyema pia,iwe na uwezo na ushawishi kibiashara, Asanteni sana