Natafuta Saluni ya dreadlocks Ukonga

Mmeshavamia na huko!

Dunia imeumbiwa Wanamume bali wanawake wameivamia na kuivuruga!
 
Nenda Ukonga Mombasa Kwa nukta yule jamaa ni shiida kwa mambo hayo.
Sehemu gani hapo?
Kuna jamaa Mombasa ana saloon kubwa anasuka na kawaida ila anatengeneza hovyo sana simjui jina ana lafudhi ya kiha hivi
 
Njia panda ya segerea karibu na bank ya CRDB utaona salun imeandikwa Anko Rasta au ulizia yeyote pale atakuonesha ni mitaa hiyo hiyo.... wako vizuri sana, hutaijutia elfu 10 yako.
 
Mmeshavamia na huko!

Dunia imeumbiwa Wanamume bali wanawake wameivamia na kuivuruga!
Hii sentensi yako mbona tata sana,
unaposema dunia imeumbiwa wanaume means what?? wanawake wamekuja kwa bahati mbaya au ulitamani wanawake waondoke ili muoane wenyewe au aje??

Khaaah!! akili nyingi huondoa maarifa.
 
Kuna tabata cjui tabata nini ila kabla hujafika njia panda ya kimanga kutokea segerea kuna saloni ya rasta/dreadlocks wako vzr nao jaribu hapo dada
 
Hii sentensi yako mbona tata sana,
unaposema dunia imeumbiwa wanaume means what?? wanawake wamekuja kwa bahati mbaya au ulitamani wanawake waondoke ili muoane wenyewe au aje??

Khaaah!! akili nyingi huondoa maarifa.
Adamu akajibu akasema "si huyu mwanamke uliyeniletea"

Dhambi ikaingilia kwa mwanamke na kumwambukiza mwanaume.

Nyakati fulani Mwanamke na ibilisi wana shirika moja.
 
Njia panda ya segerea karibu na bank ya CRDB utaona salun imeandikwa Anko Rasta au ulizia yeyote pale atakuonesha ni mitaa hiyo hiyo.... wako vizuri sana, hutaijutia elfu 10 yako.
Ahsante sana, nitaenda kupatafuta
 
Adamu akajibu akasema "si huyu mwanamke uliyeniletea"

Dhambi ikaingilia kwa mwanamke na kumwambukiza mwanaume.

Nyakati fulani Mwanamke na ibilisi wana shirika moja.
Binadamu mnakosa la kuongea???
Hata ningeuliza wapi nitapata wig zuri ungeongea tu
 
(Rastafarians tukutane hapa)

Naulizia saloon ya dreads mitaa ya ukonga, banana, tabata na mitaa ya karibu na hiyo, saloon wanayojua kutengeneza sio kujaza mafuta kichwani na kufinya finya nywele

Ahsanteni.
Tabata shuka Muslim kwenye petrol station opposite yake kuna saluni ya marasta
 
Adamu akajibu akasema "si huyu mwanamke uliyeniletea"

Dhambi ikaingilia kwa mwanamke na kumwambukiza mwanaume.

Nyakati fulani Mwanamke na ibilisi wana shirika moja.

Lol, pole sana, maana ndio tupo wengi kama utitiri.

Labda hata sodoma na gomora alisababisha mwanamke ndio maana kaka zetu wale waliangamizwa. teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…