Natafuta sample ya mkataba wa kazi

Natafuta sample ya mkataba wa kazi

alaxtakes

Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Habari wadau, naomba mwenye mktaba wa kazi ( kazi kwa waajiliwa wa viwandani) naomba anisaidie kuupata. Nahitaji mkataba huo kwa ajili ya kuwasainisha wafanyakazi wangu sasa sijui huwa inaandaliwaje, so through huo mkataba utakao nitumia nami nitaweza Ku frame wa kwangu. mimi Nina bakery. Email: alaxtakes@gmail.com. asanteni.
 
Unatumia computer na internet? Kama ndio jaribu business in a box
 
Sio mkataba tu na ushauri juu ya Labour issues. Nitafute kwa inbox
 
Back
Top Bottom