Natafuta sample za research topics...

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
Naomba mwenye sample za Research Topics katika area ya Marketing anisaidie...................
 
The Influence of Advertising on Sales, The Case of XXX Co.Ltd, hii ni direct na rahisi kufanya so long as you are sure of the data utakazotumia kama zipo kwenye hiyo kampuni unayo taka kuifanya kama case study yako! All the best!:ranger:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…