TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Wakuu kwa anayefahamu wapi naweza kupata mashine ya umeme ya kutengenezea mkaa mbadala (briquette making machine), maana nilienda pale ARTI Energy dar lakini zimeisha wanasema mpaka mwezi wa nane mwanzoni ndio mzigo utaingia. Zaidi ya hao Arti energy kuna supplier mwingine hapa Tz??????????
Tafadhali
Tafadhali