Natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba,

DOTHRAK

Member
Joined
May 22, 2021
Posts
15
Reaction score
154
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika.
Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana

Vans zipo za aina nyingi lakini binafsi natafuta kama hiki rangi iwe nyeusi au kijani kama hiyo nba 39
 

Attachments

  • Screenshot_20220707-070140.png
    258.4 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…