Natafuta scholarship niweze kupata masters nina first class ya Baed ila maisha magumu na natamani kujiendeleza yoyote anayeweza kunisaidia hata kwa makubaliano tafadhali nisaidie.
chukua mkopo nenda kasome,kwanin unapenda msaada wakati ww ni mwalimu kabisa