Wakuu nimepata admission kwa ajili ya PhD kwa chuo cha hapa ndani (Tanzania), sasa ngoma imebaki jinsi ya kupata scholarship. naomba mwenye information yeyote ya organisation inayotoa ufadhili kwa ngazi ya PhD kwa wanafunzi wanaotaka kusomea hapa Tanzania.
Mkuu unaenda kusoma Phd alafu unachanganya mambo madogo hv, unasema umepata admission sasa hyo scholarship unayotafuta ya nn? Kukuweka sawa bila shaka unahtaj SPONSORSHIP.
Mkuu unaenda kusoma Phd alafu unachanganya mambo madogo hv, unasema umepata admission sasa hyo scholarship unayotafuta ya nn? Kukuweka sawa bila shaka unahtaj SPONSORSHIP.
Uko sahihi kwa upande mmoja, lakini usisahau tafasiri nyingine ya scholarship is 'a sum of money awarded to a student to help with living expenses, study, or travel'. Hivyo bado Inteprevist yupo sahihi kwa hicho alikoandika