Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 23
Jamani wandugu,
Amani iwe kwenu, naomba kujitokeza na ombi langu kwenu.
Jamani natafuta scholarship za Masters of Laws (LLM) popote ulimwenguni, naomba kama kuna mtu yoyote mwenye infomation about Scholarships za Masters of Laws (LLM) aniambie tafadhali sana wandugu...! Hata kama wanatoa partial scholarship mi naomba mniambie, i can fund half of the fees.
Asanteni sana kwa msaada wenu, Natanguliza shukrani zangu.
Mhafidhina.
...mhh.........
Huyo ni Mama bwana, maana anamwambia Scholarship ipo just around the corner. (Good One)
Kisura, huyo shida yake pa kusoma, ana vijisent maana kasema akipata partial scholarship anaweza kujazia (sehemu yeyote duniani). Kwa hivyo vijisenti hapo tanzania hawezi jisomesha hadi PhD?
... Hata kama wanatoa partial scholarship mi naomba mniambie, i can fund half of the fees.
Mhafidhina, hiyo statement hapo imepinda mno. LOL!
Kwa sababu half tuition ya Stanford Law ni zaidi ya full tuition ya Thurgood Marshall Law.
Kama unaweza kulipa 1/2 fee ya 'mahala popote ulimwenguni' basi unaweza kulipa full tuition ya mahala pengi sana ulimwenguni.
Sasa tuanze tena basi.
Hiyo 1/2 tuition unayoweza kulipa wewe ni kiasi gani?