Natafuta SCREEN ya camera SONY 720p

Natafuta SCREEN ya camera SONY 720p

IQup

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
1,166
Reaction score
1,808
Ndugu zanguni heshima kwenu!

Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu kwenye kioo yaani kioo hakionyeshi kitu giza tu, na fundi ameshindwa kuunganisha, akanishauri ninunue "screen" yaani kioo kipya.

Nimekuja kwenu kutafuta majibu ili camera yangu ipone niendelee kupiga mapicha. Naomba anayeuza au anayejua mahali ninapoweza kupata hiyo screen/kioo anijuze ama anipatie namba ya simu niwasiliane na wauzaji wanisaidie.

Camera specifications:
SONY
720p
Model DSC-W620
Jamani msaada camera inanikosesha raha nitakonda maana sina pesa ya kununulia mpya
 
Ndugu zanguni heshima kwenu!.
jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya
TZS 27,592.28 | NEW LCD Display Screen for SONY Cyber-Shot DSC-W620 W620 Digital Camera Repair Part With Backlight


Hapo mjin aliexpress.
Nitext on 0745090905
Nitakuelekeza cha kufanya within 7 days tu mzigo unafika TZ
 
Back
Top Bottom