Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo toyota anapo endelea kujibebea point tatu hapa tanzania, haya mnao jua hiyo spare inapo patikana msaidien ndugu yetu hapo.Hi guys, natafuta hii seal ya Mazda CX-7 inakaa kwenye oil cooler naomba kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana anielekeze tafadhari gari yangu inavuja oil sana.
Asanteni.
View attachment 3126646
Nilitaka niseme kitu kama hicho toyota anabeba points kirahisi sana, hata kama kweli i dunia ni kijiji, hiyo seal hadi imfikie sio leo.Hapa ndipo toyota anapo endelea kujibebea point tatu hapa tanzania, haya mnao jua hiyo spare inapo patikana msaidien ndugu yetu hapo.
Aagize alikoagiza gari, very simple. Wabongo wengi ni wapumbavu sana. Kuacha gari nyumbani uagize spare na kuisubiria wiki moja au mbili hawataki,yuko radhi akauziwe ya kuchonga🤣🤣Hapa ndipo toyota anapo endelea kujibebea point tatu hapa tanzania, haya mnao jua hiyo spare inapo patikana msaidien ndugu yetu hapo.
Nitumie VIn number ya hiyo gari yako unapata kwa siku chache tu..
OK sawa mkuu ntakupa jibu mwisho wa mwezi huu nipo Arusha nategemea kurudi wiki ijayo mwishoni SA.Mkuu Isanga family , naomba unichekie price ya tyre hii kwa South Africa, na zinanifikia Dar kwa siku ngapi?
Nahitaji genuine new 4 pieces ...
Brand: GOODYEAR. (South Africa)
Size: 185/65 R15.
Model: EFFICIENT GRIP PERFORMANCE.
Year: 2024.
OK sawa mkuu ntakupa jibu mwisho wa mwezi huu nipo Arusha nategemea kurudi wiki ijayo mwishoni SA.
GOODYEAR nabeba sana tairi zao hao sema nicheki PM na namba yako ya WhatsApp ili iwe rahisi.
OK sawa mkuu ntakupa jibu mwisho wa mwezi huu nipo Arusha nategemea kurudi wiki ijayo mwishoni SA.
GOODYEAR nabeba sana tairi zao hao sema nicheki PM na namba yako ya WhatsApp ili iwe rahisi.
Nipo Arusha nimeingia wiki iliyopita sorry nilipokua SA nikasahau sema kwa Agent wa Good year nauliza bei hata nikiwa hapa na kulipa na wakapeleka kwenye Truck usafiri utalipia tyres zikifika hapa sema pana Truck naenda kuchukua mwezi ujao ntazibeba bure maana kulipia itakua gharama tena..Mkuu Isanga family , are you now in SA? Nataka unitumie hizo tyres za Goodyear 185/65/15 "EFFICIENT GRIP PERFORMANCE".
Nipo Arusha nimeingia wiki iliyopita sorry nilipokua SA nikasahau sema kwa Agent wa Good year nauliza bei hata nikiwa hapa na kulipa na wakapeleka kwenye Truck usafiri utalipia tyres zikifika hapa sema pana Truck naenda kuchukua mwezi ujao ntazibeba bure maana kulipia itakua gharama tena..
OK sawa ntauliza Jumatatu mkuu nipe namba inbox nabeba hizo tyres sana.Naomba uniulizie bei mkuu, na usafiri ni sh ngapi hadi hapo Arusha. Nahitaji pieces 4 tu.
Goodyear 185/65 R15 "EFFICIENT GRIP PERFORMANCE".
Brand new and genuine.
OK sawa ntauliza Jumatatu mkuu nipe namba inbox nabeba hizo tyres sana.