Natafuta sehemu maarufu inayoprint vitabu kwa bei ndogo

Natafuta sehemu maarufu inayoprint vitabu kwa bei ndogo

abeli tz

New Member
Joined
Nov 30, 2020
Posts
4
Reaction score
14
Kwa majina naitwa abeli kikimba, napatikana mkoa wa Iringa, mimi ni mwandishi na napenda kuandika sana na nimeandika vitabu saba ila bado ni soft copy, naomba mnijuze kama kuna sehemu iringa hapa,mbeya morogoro au dar wanapoprint vitabu kwa bei nafuu itakayompa urahisi msomaji kununua.

Pia natafuta kwa yeyote ambae anauwezo wa kuuza na kuchapa kazi zangu, mapato tutagawana, miongoni mwa vitabu nilivyoviandika ni hatima ya utajiri wangu, uchawi ulitaka kupoteza maisha yangu, itambue freemason na vita dhidi ya wokovu au imani ya kweli, kisasi cha usaliti,ndoa yangu njia ya kifo,elimu juu ya kuokoa ndoa yako dhidi ya michepuko na adhari za michepuko kiafya, kiuchumi, kisaikolojia, kijamii, na kiimani, kwa mawasiliano zaidi kwa yeyote anaetaka kunijuza au kufanya biashara na mimi tuwasiliane kupita 0744195987,0766086452 .email abelikikimba53@yahoo.com,na

Anaetaka kutazama kazi zangu aingie facebook kwenye page yangu kwa jina abeli artist au kwenye group la hadithi tamu na za kusisimua,
asante
 
Back
Top Bottom