Natafuta sehemu wanapofanya DTG Printing

Natafuta sehemu wanapofanya DTG Printing

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,818
Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch).

Natanguliza shukrani.
 
Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch).
Natanguliza shukrani.
wacheck Azans wapo mikocheni au nenda kwenye account yao ya IG kwa maelezo zaidi
 
Mkuu samahani wanatumia jina gani IG
1676884854613.jpg
 
Back
Top Bottom