zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Aug 16, 2014 #1 Natafuta sehemu ambayo naweza kujifunza Kung-fu. Maeneo ya Temeke naomba kujua na Gharama zake.
kandukamo1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 1,059 Reaction score 703 Aug 16, 2014 #2 magogoni kwa mjomba.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,007 Aug 16, 2014 #3 zebanga watelanga said: skif Tanzania kwasehemu yatemeke anaye pafahamu na cost zake zipoje natanguliza shuklan Click to expand... mkuu we vaa kanzu halafu sogea msikitini utapata maelezo yote
zebanga watelanga said: skif Tanzania kwasehemu yatemeke anaye pafahamu na cost zake zipoje natanguliza shuklan Click to expand... mkuu we vaa kanzu halafu sogea msikitini utapata maelezo yote
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Aug 16, 2014 #4 Mtambani wana mtaala safi sana wa hiyo kung fu laiki ndio hivyo tena chuo kimeungua
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Aug 16, 2014 #5 kandukamo1 said: magogoni kwa mjomba. Click to expand... Na matege yale anko kumbe yuko vizuri kwenye kung fu
kandukamo1 said: magogoni kwa mjomba. Click to expand... Na matege yale anko kumbe yuko vizuri kwenye kung fu
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Aug 16, 2014 Thread starter #6 sijaja kuleta masihara mna comment vitu vyajabuajabu km huna chakuchangia piga kimya hii sio face book
sijaja kuleta masihara mna comment vitu vyajabuajabu km huna chakuchangia piga kimya hii sio face book
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,803 Reaction score 24,943 Aug 16, 2014 #7 kamuulize jide
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Aug 16, 2014 Thread starter #8 zedudu kulikua hakuna haja ya comment vitu ambavyo avina msing