The bos JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 350 Reaction score 80 May 26, 2014 #1 Habar wakuu.nimefanya tafifi zangu na ninerizika sana na uwekezaji wa bar mjini morogoro.changamoto niliopata ni kupata sehemu hivyo mwenye taarifa ya sehemu nzuri ya kukodisha au mwenye sehemu basi tuwasiliane pm tuangalie inakuwaje.thanks all
Habar wakuu.nimefanya tafifi zangu na ninerizika sana na uwekezaji wa bar mjini morogoro.changamoto niliopata ni kupata sehemu hivyo mwenye taarifa ya sehemu nzuri ya kukodisha au mwenye sehemu basi tuwasiliane pm tuangalie inakuwaje.thanks all
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 26, 2014 #2 nane nane, kihonda, mazimbu, kule kwenye ofisi za tumbaku nimesahau jina kunaitwaje...
The bos JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 350 Reaction score 80 May 26, 2014 Thread starter #3 Vaislay said: nane nane, kihonda, mazimbu, kule kwenye ofisi za tumbaku nimesahau jina kunaitwaje... Click to expand... Asante mkuu nitafatilia
Vaislay said: nane nane, kihonda, mazimbu, kule kwenye ofisi za tumbaku nimesahau jina kunaitwaje... Click to expand... Asante mkuu nitafatilia