Natafuta sehemu ya ku supply lunch

Natafuta sehemu ya ku supply lunch

Mparanyanga

Member
Joined
May 20, 2010
Posts
28
Reaction score
5
Habari wadau,
naomba mnisaidie, natafuta sehemu ya ku supply lunch, yaani namaanisha niwe napika kwangu tehn napack kwa lunch box and then na supply. tafadhali ukisikia au kama unajua sehemu yeyote naomba nifahamishe kwa Mobile no 0754 255 734 au 0712 259 021.
Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom