Natafuta sehemu ya kufanyia biashara ya mgahawa Dar

Natafuta sehemu ya kufanyia biashara ya mgahawa Dar

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Posts
933
Reaction score
75
Wadau, nahitaji mahali pa kufanyia biashara ya mgahawa jijini Dar. Pawe sehemu ya kuandalia chakula (jiko), sehemu ya kulia chakula pamoja na maliwato. Mwenye taarifa aniPM tafadhali.
 
Wadau, nahitaji mahali pa kufanyia biashara ya mgahawa jijini Dar. Pawe sehemu ya kuandalia chakula (jiko), sehemu ya kulia chakula pamoja na maliwato. Mwenye taarifa aniPM tafadhali.
uko sawa kwa hilo,
je umeshapata eneo la biashara yako? km bado unahitaji maeneo yapi hapa dar es salaam kwa biashara hiyo? na bajeti yako ni kiasi gani? lakini kama hutajali ni vema ukatoa namba yako ya simu au ukanipigia kwenye 0654 197 389
thanks
 
Back
Top Bottom