Natafuta sehemu ya kujitolea kwenye kazi za ujenzi

Natafuta sehemu ya kujitolea kwenye kazi za ujenzi

Natafuta volunteer kazi za ujenzi mabarabara au materials kwa ajiri ya uzoefu ,nitaftanya Kaz kwa bidii Kama mfanyakazi was kawaida Niko mwanza
0687118944

Education level
Diploma ya civil engineering
unatafuta volunteer au unahitaji ku-volunteer
 
Kama una maelekezo binafs next time mfate mtu inbox sio kuchafua post na Mambo yako ya ovyo
Kama hutaki kusahihishwa kwenye kitu cha msingi kama hiki utakubali kweli kusahihishwa na fundi mchundo sait?
Tunaomba ku volunteer, sio volunteer.

Amandla...
 
Back
Top Bottom