Sukuma gal
Member
- Apr 13, 2021
- 30
- 32
[emoji1787][emoji1787]Mambuzi yatakavyofukuzana huko pm sasa
Nyie ndio mnachafua jamiiforum.Mambuzi yatakavyofukuzana huko pm sasa
Kwamba nini yaani?
Nina ofisi yangu ina deal na maswala ertaiment ipo dar kama uko tiyaliiHabari za wakati huu wana jf
Kwa Mara nyingine nimekuja mbele yenu nikiwa natafuta sehemu yoyote ili ya kujitolea anglau niweze kupata uzoefu
Nina shahada ya sosholojia nani mkazi wa mkoa wa mwanza
Ahsante
Nakufata pm mkuuNina ofisi yangu ina deal na maswala ertaiment ipo dar kama uko tiyalii
Karibu bata batani ofisi zetu zipo dar
Ha ha ha.....kamselelekoNina ofisi yangu ina deal na maswala ertaiment ipo dar kama uko tiyalii
Karibu bata batani ofisi zetu zipo dar
Umemaanisha nin mkuuHa ha ha.....kamseleleko
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]Mambuzi yatakavyofukuzana huko pm sasa