Natafuta sehemu ya office

Natafuta sehemu ya office

Codexdave

Member
Joined
Aug 23, 2022
Posts
15
Reaction score
4
Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
 
Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam?
Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje?
 
Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam?
Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje?
ivyo si issue. Cha muhimu Dalal au mtu anayejua sehm dar yenye mazungira mazuriii Kwa office ndan ya budget tajwa Kwa mwezi !! Anichek maelezo mengine tutaongea . Wastan office ya watu 3
 
Back
Top Bottom