Codexdave Member Joined Aug 23, 2022 Posts 15 Reaction score 4 Sep 22, 2022 #1 Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
Habari wandugu ! Natafuta sehemu ya office size ya kati tu . Maeneo ya Dar ! Budget yangu 300k kama unajua jengo au sehem plz msaada
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 715 Reaction score 1,619 Sep 23, 2022 #2 Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam? Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje?
Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam? Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje?
Codexdave Member Joined Aug 23, 2022 Posts 15 Reaction score 4 Sep 23, 2022 Thread starter #3 Bexb said: Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam? Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje? Click to expand... ivyo si issue. Cha muhimu Dalal au mtu anayejua sehm dar yenye mazungira mazuriii Kwa office ndan ya budget tajwa Kwa mwezi !! Anichek maelezo mengine tutaongea . Wastan office ya watu 3
Bexb said: Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam? Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje? Click to expand... ivyo si issue. Cha muhimu Dalal au mtu anayejua sehm dar yenye mazungira mazuriii Kwa office ndan ya budget tajwa Kwa mwezi !! Anichek maelezo mengine tutaongea . Wastan office ya watu 3