Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Check PM
 
Project nzuri sana ila mambo ya hela haya ni zaidi ya kuaminiana
Sitaki presha mie
 
Mkuu tunaomba mrejesho
 
naona majina tumefanana, mie tayar nimeanza.. karibu mkuu
 
Cha kushangaza sasa yeye hana hats mia kumi zaidi ya elimu

Ushuri wangu sasa
Anza kidogo kidogo we mwenyew upanue biashara au andika business proposal upate mkopo

Kukaa kote nje mzee baba umeshidwa kusave hats ml 5 zije zikufae hapa bongo?
 
Nina miundimbinu kibaha misugusugu inacapacity ya nguruwe 200
 
Umeshaanza au bark uko kwenye idea
 

Salamu kwako mkuu...vp mradi ulifanikiwa kuanzishwa? Kama bado, naomba niulize kama still uko na malengo ya kuufanikisha
 
Mkuu hapo Ifakara (ukanda huo) kuna ugonjwa wa ngurue ulipita na ukasababisha hasara kubwa sana, vipi kwa sasa hali ipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…