Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Magomeni Tanga na Zanzibar kuna mashoga wengi sana, na wale mashoga ni waislamu. unataka kusema na hao walianza kula kitimoto tangu wadogo? astagfirulah


Nimeandika hivi; "ukiangalia mashoga wengi, sio wote------"

Unatakiwa usome kwanza na kutafakari kabla hujajibu.
 
hata mimi hapo nimezungumzia wengi sio wote.
Unatakiwa usome kwanza na kutafakari kabla hujajibu.


Wengi unadhani Tanzania, Magomeni, Mombasa au Afrika kuna mashoga???!!--- mbona unachekesha, hao ni harufu ya mashoga, mzoga wenyewe upo Ulaya, Marekani na China ambako Ulaji wa nguruwe ni sawa na ulaji wa ugali huku kwetu, huko Ushoga ni fahari na sifa.

Ukienda porini (in a game reserve or animal park) ukashuhudia Simba wanafanya ushoga jinsi madume ya nguruwe yanavyofanyiana ushoga, basi ukipeleleza utakuta kwamba katika eneo (territory) hiyo kuna nguruwe pori wengi ambapo hao simba hula sana hao nguruwe, ninachotaka kusema ni kwamba; hata wanyama watakaokula sana nyama za nguruwe kwa wingi nao huathiriwa na kuwa mashoga.

Katika Wanyama, wanaofanya ushoga ni jamii ya Nyani na jamii ya sokwe (primates and apes) na Nguruwe. Watu wanaokula nyama ya nguruwe huathiriwa mno na hiyo nyama kiasi kwamba wanakuwa na nafasi kubwa ya kuwa Mashoga (Mabasha au wasenge).

Kumbuka hapa sizungumzii juu ya masuala ya imani za kidini.
 


Kwanza kabisa inaonekana una jazba (emotional) jinsi lugha yako ilivyo inaonyesha unachuki na dini fulani kwasababu mimi nimekwisha kukuambia kwamba sio mashoga wote wapo hivyo kwasababu ya kula nyama ya nguruwe, kama wewe unakula kitimoto na bado hujawa shoga basi ipo hatari siku moja utakuwa Shoga.

Halafu nani kakuambia kuwa "Waisilamu" wote hawali nguruwe???!!, wapo waisilamu wanakula nguruwe japo dini yao imekataza kula, ni kwa namna hiyo hiyo wapo Waisilamu wanakunywa pombe ingawa dini yao imeharamisha pombe.

Jambo jingine unalotakiwa ulijue ni kwamba tenganisha kati ya Uarabu na Uisilamu, Uarabu na Uisilamu ni vitu viwili tofauti na sio kila Muarabu ni Muisilamu.

Ninaposema kwamba Ulaji mkubwa wa nyama ya nguruwe unachangia pakubwa kuwafanya watu wawe Mashoga sina maana kwamba hakuna mashoga miongoni mwa wasiokula nguruwe, wanaweza kuwepo kutokana na muundo wa maisha ya jamii hizo, mfano mtu akisema uvutaji sigara huchangia zaidi kuleta kansa ya mapafu haina maana kwa kansa zote za mapafu huletwa kwa uvutaji wa sigara.

Chukua tatizo la ushoga Globally, huku kwetu Africa hakuna Ushoga bali harufu ya Ushoga. Nenda ulaya, Marekani, Israeli, China, nk.Ukaone huko hadi Statesmen ni mashoga, Wachungaji, Maaskofu wanafunga ndoa za kishoga nk, kuwa shoga kwao ni haki kama haki zingine na zimo kikatiba nk.
 
na hao wote uliowataja wanakula kitimoto?

kwahio cha msingi unaweza ukala kitimoto na usiwe shoga na unaweza usile kitimoto na ukawa shoga?
hapo nimekuelewa chief tupo pamoja.



Nasema hivi; nafasi ya kupata kansa ya mapafu ni kubwa sana kwa mtu anayevuta sigara lakini watu wanaweza kupata kansa ya mapafu kwa njia zingine pia.--- ni hivyo hivyo kwa upande wa ushoga, mtu anayekula nyama ya nguruwe anayo nafasi kubwa ya kuwa shoga japo sio lazima shoga yeyote huwa ni mlaji wa nguruwe.

Kuna jambo nataka kuongezea hapo; wataalamu wa lishe na chakula wanasema; "You are what you eat" yaani tabia na miili yetu ipo kulingana na vyakula tunavyokula, Nguruwe kiasili ni mnyama mchafu au ni mnyama aliyeumbwa na Mungu kwa ajili ya kula takataka (scavenger), yeye ni jamii ya Fisi, kunguru, Tai, hivyo nyama yake kama zilivyo nyama za fisi na kunguru hazifai kuliwa na binadamu mbaya zaidi nguruwe ndiye mnyama anayependa kufanya Ushoga hivyo walaji wa nguruwe wanayo nafasi kubwa ya kuambukizwa hizo tabia.
 
We jamaa mimi nilikutumia PM ina miezi zaidi ya minne hata hukujibu inaonekana hauko serious.
 
We jamaa mimi nilikutumia PM ina miezi zaidi ya minne hata hukujibu inaonekana hauko serious.
Very sorry jamaa yangu. Nlitumiwa texts nyingi Kwa bahati mbaya yako sikuiona na kuweza kuijibu timely. Niwie Radhi.
 
Vipi huu mradi umefikia wapi
Mradi hatukuweza kutake-off ingawa niliweza kukutana na wadau wachache kujadiliana. Niliweza kuandaa andiko la mradi ila hatukuweza kuendelea zaidi ya hapo.
 
[emoji3][emoji3]! Kuna mtu naye ananihojigi balaa kuhusu mishe zangu. Bas akuambie kesho nategemea kutembelea walau mgodi mmoja wapiii...Sana San kila siku unaombwa picha za dhahabu[emoji38][emoji38]! Utadhani mtafiti ..hatupo serious kbs kbs yaan
Hahaha wakaa kwa shemeji hao.

Ukute anakuuliza hayo maswali amenyoosha zake miguu kwenye sofa huku mkono mmoja umeshika rimoti ya DStv na pembeni juice ya embe anakuchora tu.


Mitandaoni Raha Sana.
 
Hahaha wakaa kwa shemeji hao.

Ukute anakuuliza hayo maswali amenyoosha zake miguu kwenye sofa huku mkono mmoja umeshika rimoti ya DStv na pembeni juice ya embe anakuchora tu.


Mitandaoni Raha Sana.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ˜€! Blah blah Sana watz...dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…