Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Ngoja walaji waje


Ulaji mkubwa wa nyama ya kitimoto huathiri hata tabia za wanyama, mfano ukikuta madume ya simba yanaingiliana (yakifanya ushoga) basi utakuta eneo wanapoishi hao simba kuna nguruwe mwitu wengi na hao nguruwe ndiyo chakula kikuu cha hao simba.

You Google to find homosexual lions.
 
Kumbe kule Uarabuni wanakula sana hii kitu?? Sikujua
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
THE HORTICULTURISTS

Jiunge kwenye kundi letu la whatsap tujadili mada mbali mbali kuhusu kilimo.
Kutana na wataalamu upatiwe majibu ya maswali yako kuhusu kilimo.
 
duu, nimefuatilia huu uzi toka mwanzo nimeamini jinsi ya kuanza chochote ni kuacha kuongea na kuanza kufanya
 
Kama mtahitaji eneo la kujenga hayo mabanda ,Nina eneo zuri Sana hapa dar tunaweza kuingia ubia ukajenga mabanda ya kufungia ,
Eneo Lina maji ,umeme ,na lipo jirani na main road ya morogoro road
 
Aisee
Kiliwapata nn?
 
Hadi saiv waendelea? Sijui nihamishie mrad wangu huko
 
Kiwanda bado kipo??
 
Muwekezaji niko hapa, sema bajeti ya mradi wote ni kiasi gani na wewe unapatikana vipi?
 
Kama mtahitaji eneo la kujenga hayo mabanda ,Nina eneo zuri Sana hapa dar tunaweza kuingia ubia ukajenga mabanda ya kufungia ,
Eneo Lina maji ,umeme ,na lipo jirani na main road ya morogoro road
Dsm sehem gani mkuu. Ulipata mwekezaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…