Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Habari mi ni kijana wa kiume umri 26 kutokana na nadhiri niliyojiwekea kwamba sihitaji kutongoza mwanamke yeyote mpaka yule ntakayekua na uhakika kwamba nampenda niko tayari kwa lolote.
Uamuzi huu ulisababishwa na matukio makubwa mawili nilowafanyia maex zangu walonipenda na kuwasababisha maumivu makubwa nilijiapiza sihitaji kumuumiza mtu tena nimejipa nafasi moja ya maamuzi.
Nateseka sana na feelings za sex tokea mwaka jana mwezi wa sita niko single just imagine situation nayopitia japo nimejicommit ila nateseka naogopa kuumiza mtoto wa mtu again.
Nimekuja mbele yenu wadada wa jf kuomba kimpata sex partner tutakayefarijiana ikiwezekana twaweza kuwa wapenzi ila nia ni sex partner najua mpo wenye uhitaji kama wangu.
Samahani kama itakua ni kitu cha ajabu but nadhani inabidi nieleweke .
Nakuona hapo my sex partner karibu sana tuanze safari hiii.
Sifa zangu.
Mwanaume 26 age
Makazi dar es salaam
Mkristo
Rangi mbantu maji ya kunde
Kazi intern katika ofisi ya serikali
Sifa za mwanamke nayemtaka
Awe single
Asizidi miaka 35
Awe tanzania
Awe charming
Mambo ya uzuri au ubaya au rangi au urefu namwachia Mungu watu wote wazuri atakayeguswa let's be friends tupeane mawazo ya maisha.