Kinyau
JF-Expert Member
- Nov 24, 2006
- 921
- 726
Kama heading inavyosema, wakuu natafuta shamba kwa kilimo cha mbogambiga na matunda kama tikiti nk. Eneo liwe Mkuranga, Bagamoyo, Morogoro nk. Upatikanaji wa maji ni muhimu na aina ya udongo iwe nzuri (sio kichanga wala mfinyanzi).
Aliye serious na analo pease PM. Please dalali kama hauna uhakika na eneo usinipeleke kabla haujajiridhisha maana tushagombana na baadhi.
Barikiweni nyote.
Aliye serious na analo pease PM. Please dalali kama hauna uhakika na eneo usinipeleke kabla haujajiridhisha maana tushagombana na baadhi.
Barikiweni nyote.