Natafuta shamba kwa kilimo cha mboga mboga Mkuranga, Bagamoyo au Morogoro

Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Posts
921
Reaction score
726
Kama heading inavyosema, wakuu natafuta shamba kwa kilimo cha mbogambiga na matunda kama tikiti nk. Eneo liwe Mkuranga, Bagamoyo, Morogoro nk. Upatikanaji wa maji ni muhimu na aina ya udongo iwe nzuri (sio kichanga wala mfinyanzi).

Aliye serious na analo pease PM. Please dalali kama hauna uhakika na eneo usinipeleke kabla haujajiridhisha maana tushagombana na baadhi.

Barikiweni nyote.
 

Njoo PM tusaidiane kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…