Natafuta shamba la kukodi katika mkoani Pwani, lisiwe pungufu ya ekari 10

Natafuta shamba la kukodi katika mkoani Pwani, lisiwe pungufu ya ekari 10

Vogoso

Member
Joined
Mar 23, 2019
Posts
44
Reaction score
43
Habari!

Natafuta shamba la kukodi katika mkoa wa pwani sizizo pungua ekari 10.

Sifa za shamba:
1. Liwe karibu na chanzo cha maji ya uhakika, Kwa kipindi chote cha mwaka.
2. Shamba lisijae maji hasa kipindi cha vuli. Litakuwa Bora Kama na masika halitojaa.
3. Lisiwe mbali Sana kutoka Barabara kuu.
4. Udongo tifutifu, mfinyanzi ulichanganyika na kichanga.

Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Njoo ninalo ekari 5,5 kama litakufaa lipo mlandizi nila kwangu hakuna dalali.
 
Back
Top Bottom