Bei gani unakodisha? Na kuuza je?Njoo ninalo ekari 5,5 kama litakufaa lipo mlandizi nila kwangu hakuna dalali.
Unauza au unakodisha?Njoo ninalo ekari 5,5 kama litakufaa lipo mlandizi nila kwangu hakuna dalali.
Sifa zakeMashamba yanauzwa Kisarawe heka 700,000.
Mlandizi heka 3,500,000.
Naliuza ndugu maji hayajai na nilangu mwenyewe hamna dalali naanzia ml 13.Unauza au unakodisha?
Gharama zake zikoje?
Maji hayajai hapo?