Natafuta shamba la kukodi Kibaigwa/Kiteto

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
42
Hi
natafuta shamba kibaigwa/kiteto la kukodi msaada tafadhali
 
Tukisikia aliyenalo tutakwambia, ila kama unahitaji Njombe kwa ajiri ya kuwekeza misitu nipm
 
kama unataka la kununua Tanga wilaya ya Handeni mazao yanastawi sana kuliko huko kiteto na kibaigwa ni PM bei ni ndogo sana inaweza kuwa sawa na kukodi huko kiteto kwenye migogoro ya wakulima na wafugaji.
 
Inauzwaje ekari moja huko Handeni???!!!
Hivi huo mgogoro uko Wilaya nzima huko Kiteto???!!!

Mtoa mada ukiwa tayari kwa masuala ya Kiteto hebu fanya PM tutaanzia huko na kumaliza huko!!!
 
Ni PM kwa maelezo zaidi niko katikati ya Kibaigwa na Kiteto kuna mashamba poa tu....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Inauzwaje ekari moja huko Handeni???!!!
Hivi huo mgogoro uko Wilaya nzima huko Kiteto???!!!

Mtoa mada ukiwa tayari kwa masuala ya Kiteto hebu fanya PM tutaanzia huko na kumaliza huko!!!

poa nafanya hivyo
 
kama unataka la kununua Tanga wilaya ya Handeni mazao yanastawi sana kuliko huko kiteto na kibaigwa ni PM bei ni ndogo sana inaweza kuwa sawa na kukodi huko kiteto kwenye migogoro ya wakulima na wafugaji.
Habari mkuu?....Sorry, naomba kuuliza handeni mashamba yanauzwaje kwa eka?...Vipi upatikansji wa maji?
 
kama unataka la kununua Tanga wilaya ya Handeni mazao yanastawi sana kuliko huko kiteto na kibaigwa ni PM bei ni ndogo sana inaweza kuwa sawa na kukodi huko kiteto kwenye migogoro ya wakulima na wafugaji.
Yanapatikana kwa bei gani mashamba handeni mkuu
 
Back
Top Bottom