Habari waJF, kwa ufupi nipo Dar kwa maeneo ya Chanika sina uenyeji wa kupata shamba la kukodsha. Nataka nkalime kilimo cha nyanya mwezi wa pili kulingana na hali ngumu ya maisha, nmetafuta kazi ya kuajiriwa tangu nimalize chuo bado sijafankiwa. Nasikia kilimo kinatoa zaidi ya kuajiriwa nami sasa nmeamua nkajiajiri kwenye kilimo. Nahtaji nusu hecta. Naomba kuwasilisha hoja.