ila utambue kuna ugonjwa umeingia kwenye nyanya sasa hivi,wakulima wa nyanya watakwambia zaidiHabari wajf, kwa ufupi npo dar kwa maeneo ya chanika cna uenyeji wa kupata shamba la kukodsha. Nataka nkalime kilimo cha nyanya mwezi wa pili kulingana na hali ngmu ya maisha nmetafuta kazi ya kuajiriwa tangu nmalize chuo bado sijafankiwa. Nasikia kilimo kinatoa zaid ya kuajiriwa nami sasa nmeamua nkajiajiri kwenye kilimo. Nahtaji nusu hecta. Naomba kuwasilisha hoja
sijakwambia uache kulima,fuatilia hali ikoje kwa sasaNi zao lipi nlime kwa sasa tofauti na nyanya mkuu
Njoo ulime ufuta huku!Ni zao lipi nlime kwa sasa tofauti na nyanya mkuu
ila utambue kuna ugonjwa umeingia kwenye nyanya sasa hivi,wakulima wa nyanya watakwambia zaidi
Nipogie nina eneo langu lina kisima na heka moja nitakukodisha hapa Ulongoni nyuma ya gongo la mboto 0713669533
mwenzio anataka ekari1.25 kama alimaanisha nusu hecta! usimuharibie mahesabu mkuu!
target ya nyanya na hoho yupo sahihi ila ubora wa
ardhi+ geographic condition lazima uzingatiwe ili kupata mavuno sahihi na kukabiliana na changamoto!
karibu kwenye ukulima ila sharti uingie mzima mzima! ukianguka kung'uta mavumbi kisha usinge mbele!