Habari...Natafuta shamba la kununua Arusha lenyewe ukubwa kuanzia nusu heka na kuendelea.
Napendelea sana maeneo ya Ngaramtoni hasa Redio habari maalum...
Kama unafahamu muuzaji ama dalali wa kunipatia nnachotaka please usiache kuni PM
Thank you
habari...natafuta shamba la kununua arusha lenyewe ukubwa kuanzia nusu heka na kuendelea.
Napendelea sana maeneo ya ngaramtoni hasa redio habari maalum...
Kama unafahamu muuzaji ama dalali wa kunipatia nnachotaka please usiache kuni pm
thank you