Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Jan 14, 2014 #1 Natafuta shamba la kununua maeneo ya kanda ya ziwa, napendeleo mikoa ya mwanza au bukoba , shamba liwe la hekari moja ( 1) hadi tano ( 5 ) Na vile vile nitafurahi kwa ushauri wowote nitakao pata
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kanda ya ziwa, napendeleo mikoa ya mwanza au bukoba , shamba liwe la hekari moja ( 1) hadi tano ( 5 ) Na vile vile nitafurahi kwa ushauri wowote nitakao pata