Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana boss,Kwa upande wa dar sidhani kama unaweza kupata kwa kuwa sasa hata yale maeneo ya nje ya jiji wanauza viwanja na si mashamba ila kama pwani inawezekana kabisa ila kuanzia laki saba kwa eka
Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule
Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa
Umbali =29km tokea ferry
Ukubwa = Takriban eka 10
Umeme = Nguzo 6 unafikia
Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem ya duka
Kuna kisima cha maji matamu yanapatikana
Banda lishafanyiwa wiring
Mi nakaa Kibaha, nipe details zaidi. Umbali toka Morogoro road, bajeti, heka ngapi. Maeneo siyo shida. Au nicheki kwa 0713-039875
Habari wadau,
Kama title inavyojieleza
Natafuta shamba, kuanzia ekari 4, liwe maeneo ya katikati hapo kuanzia Mlandizi kuja Dar.
Kuwe na maji au chanzo cha maji walau kwa umbali usiozidi kilomita 1.
Asanteni
Shamba utapata Mlandizi karibu na eneo la viwanda ni wewe tu ujipange ili uonyeshwe site na baada ya hapo mapatano yataendelea...
Sawa mkuu
Unaweza weka bei elekezi (walau price range) hata kama nakuja nikjue natagemea wapi mpaka wapi?
Muhimu kwangu ni kupata walau ekari 4 zilizo pamoja
Mkuu bei elekezi haina nguvu sana pale mnapouziana eneo ambalo halijapimwa ingawa kwa sasa inacheza kati ya Tsh 6000 - 10,000 per Sq metre na inategemea zaidi na kiwanja kimekaa mahali gani, unayemuuzia ana ukwasi kiasi gani na muuzaji naye pia vyuma vyake vimekaza kiasi gani
Daah, miye mkulima ndugu yangu
kwa hiyo 6,000sqm maana yake karibu 3m kwa ekari. Mbali sana kwangu mkuu
miye nahutaji yale mashamba ya max 600k kwa ekari
interested in this , embu namba zako za simu tuongee vizuriNina shamba km chache kutoka Mlandizi kuelekea Bagamoyo, lenye mazao miembe ya kisasa na minazi imeanza kuzaa miaka 3 sasa...heka sh. 3.5M na Banda la vyumba 2 la tofari juu bati buree.... Pia kuna heka 4 @2M halina mazao.
Note: lenye mazao kuna kisima kirefu cha karavati. HAKUNA DALALI.