Natafuta Shamba Maeneo ya Pwani

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Natafuta shamba kwa ajili ya makazi, kilimo na ufugaji njia ya kuelekea Lindi toka Mbagala, shamba liwe Pwani na bei nafuu na kufifika isiwe muda mrefu sana toka Mbagala
 
Ninali mvuti kama vipi Ni pm tufanye biashara pls
 
kuna 1 lipo mbele mkuranga heka 5
 
Kuna shamba lenye ukubwa wa heka 9.5 lipo Mkuranga Kise ni dakika 15 kutoka Mkuranga mjini hadi shamani na lina hati ya kijiji..
Pia eneo lingine lina ukubwa wa heka 10 lipo Mkuranga Kimanzichana ni umbali wa dakika 45 kutoka Mkuranga mjini hadi shambani nalo lina hati ya kijiji..

Ukihitaji kufika na kuona hayo maeneo napatikana kwa namba 0684474188
 
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…