Lipojaman mpoooo
Unataka eka ngapihabari zenu wakuu
polen na shughul za kusaka tonge la kila siku
husika na mada hapo juu mimi natafuta shamba la kupanda parachichi lililopo katika tarafa ya lupembe.
Bei isizidi 100,000/= Tsh kwa eka likiwa barabarani itapendeza zaidi na ikiwezekana hela itapanda
mawasiliano n Pm
vp mkuu ulifanikiwa?nashukuru sana boss ikiwezekana naomba unipm namba yako ili iwe kaz nyepes