R real fisher New Member Joined Mar 1, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Mar 25, 2016 #1 Habari za asubuhi ndugu zangu. Natafuta shamba la kukodisha ili nifuge kuku. Liwe la hekari tatu, pia liwe Dar au nje ya Dar (Pwani) ila isiwe mbali na Dar es salaam. Mwenye nalo aniPM tafadhari. Asanteni sana.
Habari za asubuhi ndugu zangu. Natafuta shamba la kukodisha ili nifuge kuku. Liwe la hekari tatu, pia liwe Dar au nje ya Dar (Pwani) ila isiwe mbali na Dar es salaam. Mwenye nalo aniPM tafadhari. Asanteni sana.
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Mar 25, 2016 #2 Weka namba ya simu au nicheki 0712690760