kabogo Furaha
Member
- Jun 15, 2019
- 15
- 56
Eneo gani?Habari wanaharakati wenzangu natafuta mtu amabaye ana experience katika masuala ya chakula tufanye kazi pamoja vifaa vyote vipo vya chips, chakula na machine ya juice ya miwa kama upo interested na upo seriously nicheck Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mkoa gani?Habari wanaharakati wenzangu natafuta mtu amabaye ana experience katika masuala ya chakula tufanye kazi pamoja vifaa vyote vipo vya chips, chakula na machine ya juice ya miwa kama upo interested na upo seriously nicheck Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo gani?
Ushapata eneo??
Hapo kwenye kiswangilishi sasa! 😅