Mimi nikijana msomi mwenye umri wa miaka 30,mkazi wa Kigamboni Dar es salaam.Nampango wa kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji katika shamba langu la hekari zaidi ya10.Kwa kuanza nimechimba kisima cha kisasa pamoja na kufunga pump ya kusukuma maji kuja kwenye tank.
Hivyo ningependa kushirikiana na Mtanzania yeyote mwenye nia thabiti kama yangu, ya kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji hapa Dar es salaam.Nakaribisha jinsia yoyote kwa yule atakayekua tayari ila tu, awe namtaji usiopungua millioni tatu(3) kama share yake katika mradi.
Nitafute kupitia email yangu
email.lawrencemkama2@gmail.com