WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na madereva,tafadhali kama kuna ambaye ana hitaji hilo naomba anijulishe.