Echolima JF-Expert Member Joined Oct 28, 2007 Posts 3,824 Reaction score 2,079 Jan 11, 2011 #1 Nina kijana wangu ambaye nataka akasomee shule ya Secondary huko Uganda yeyote mwenye contact na shule ya secondary nchini Uganda anisaidie pamoja na ushauri wowote ule nitazingatia.:A S 27:
Nina kijana wangu ambaye nataka akasomee shule ya Secondary huko Uganda yeyote mwenye contact na shule ya secondary nchini Uganda anisaidie pamoja na ushauri wowote ule nitazingatia.:A S 27: