Natafuta shule kwa ajili ya Binti yangu

Natafuta shule kwa ajili ya Binti yangu

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,071
Nimehamia Kawe, nataka shule english medium kwa ajili ya binti yangu, darasa la 4 kwa mwaka 2013.

Nitapenda shule iwe na ada ya watu wa kati, usafiri uwepo kwenda na kurudi. Iwe shule kweli sio jina tu, shule bora. iwe Maeneo Msasani, Mikocheni, Kawe

Naomba wakazi wazoefu, mnisaidie ku-identify hiyo shule.
 
Mpeleke Esacs Secondary school mana ni one of dabest school,trust me kwa hilo
 
Mpeleke KWANZA INTERNATIONAL SCHOOL MIKOCHENI
 
Mlete nuru karansi english medium tutampokea.
 
Mlete havard inrtnational school hapa Texas. Mii ntakua mwenyeji wake.
 
Back
Top Bottom