Nimehamia Kawe, nataka shule english medium kwa ajili ya binti yangu, darasa la 4 kwa mwaka 2013.
Nitapenda shule iwe na ada ya watu wa kati, usafiri uwepo kwenda na kurudi. Iwe shule kweli sio jina tu, shule bora. iwe Maeneo Msasani, Mikocheni, Kawe
Naomba wakazi wazoefu, mnisaidie ku-identify hiyo shule.