Natafuta shule kwa mtoto wa 5yrs,(nursery) maeneo ya mjini/upanga/kariakoo

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Wakuu Salama ! ! Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata nafasi ya kusoma mwanangu Day School maeneo MJINI, UPANGA, KARIAKOO, au hata jirani mradi kuwepo na usafiri wa uhakika, tuanweza kulipa hadi shs 2,000,000 kwa mwaka kama shule ni nzuri.

kwa mawasiliano ya haraka PM nitakupigia...
 
Mzazi mbona kama umri wa mwanao ni mkubwa sana kusoma nursery?
 
Habari. kuna shule hua naiskia skia ipo upanga inaitwa Lady Bird Nursery School, sifahamu details zozote ila waweza kufika shuleni ukapata taarifa zaidi, naskia ni shule nzuri. ASANTE
 
pia Agha Khan iko Upanga Ally Khan road,
Upanga Nursery ipo posta mpya.
 
Kwa location ulizotaja nadhani Olympio Primary ni shule nzuri (kama wazo la kumwanzisha primary unaona lina mashiko) Ila ndani ya Ilala ungependa maeneo ya tofauti na Upanga/Kariakoo ningekushauri umpeleke Genius Kings' iliyopo Tabata,ni shule nzuri na cha kufurahisha hata mtihani wa darasa la nne ndiyo mwaka huu ndiyo imeongoza kwa wilaya ya Ilala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…