Natafuta shule nzuri kwa QT na ada isiyozidi laki tatu

leilat mfaume

Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
14
Reaction score
15
Mwenye kujua shule nzuri inayotoa. Mafunzo ya QT kwa ada ya bei poa naomba anijuze, ambayo ada yake haizidi 300,000 kwa mwaka....
 
taasisi ya elimu watu wazima nenda ofis zao wanafundisha qt, ada ni laki unusu tu kwa mwaka.
 
Nenda kwa Mwalimu Makoba Open School Kinondoni, simu yake: 0653 250 566.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…