Sijakuelewa dada/kaka, unaweza kufafanua kidgo, tafadhali!
Asante.
Heshima mbele wakuu, mwakani nataka kumpeleka shule Jr.
Kwa sasa natafuta shule ya awali na msingi, Morogoro, Arusha, Iringa,Mbeya, Mwanza, au Dar (spendelei sana dar)! Kama ni nje ya Tanzania iwe Kenya, South Africa au Botswana. Ubora wa elimu ni jambo la mbele kabisa. Nakaribisha maoni wakuu. Natanguliza shukrani

Kuna shule iko Temeke (DSM) Inaitwa Madenge P/S ina nursery, au Mapambano P/S iliyokoake zote Mjini Moshi au Mjimwema iliyoko Morogoro bei zote ni chini ya 4.5m bila usafiri wa kwenda shule na kurudi, shule hizi hazina boarding lakini ukiongea vizuri na wakuu wa shule wana namna.
Kaka document haisomeki kabisa kaka!
Amoeba kwani wewe ni mgeni au unataka kutuonyesha uwezo wako na uvivu wa kulea