Natafuta shule ya bweni iwe mchanganyiko au la ya bei nafuu tafadhari

Natafuta shule ya bweni iwe mchanganyiko au la ya bei nafuu tafadhari

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Nina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka.

Natanguliza shukrani
 
Yaani unatafuta private school ya bei nafuu bweni mhhh mkuu utakuja kupoteza muda hutoamini.....
 
Nina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka.

Natanguliza shukrani
Iwe mkoa gani ? Sekondari au primary ? ....maana za katoliki ndio bei poa sana....ingawa sasa khaaa wameshafanya interview lakini kujaribu
 
Back
Top Bottom